Huku watu wakiendelea kujitokeza katika viwanja Leaders Club katika
harakati nzima ya kutoa heshima ya mwisho ya ndugu yetu msanii wetu na
kipenzi cha watu wengi muda huu mwili wa Marehemu Albert Mangwear ndio
umeingia katika viwanja vya leaders Club
![]() |
Dah this is it ndugu yetu mpendendwa ndo ametangulia mbele za haki na sasa ule muda wa kutoa heshima za mwisho ndo umewadia. Mungu awape nguvu wale wote waliofikwa na msiba huu. Image credit DJ Choka |
![]() |
Mwili wa marhemu Albert Mangwea ukiwa kwenye jeneza tayari kwa watu kutoa heshima za mwisho
|
![]() | |||
Baadhi ya ma super star wa bongo wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuaga. |
No comments:
Post a Comment