Mrembo Fatma aka Brown Berry katika pose
Hizi
picha ni za msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala
Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya au “unga”
nchini Misri. Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt
wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwa
Fatma akiwa na anayesemekana kuwa ni mwanae
Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake


Kumekua
na taarifa kwamba msichana huyu amehukumiwa kunyongwa. Hata hivyo
baadhi ya watu wametuma message kadhaa kwa bloggers kwenye mitandao ya
kijamii kusema kwamba ni kweli ndugu yao amekamatwa lakini taarifa za
hukumu ya kunyongwa sio za kweli, na hata hajahukumiwa bado
Source: jestina-george
No comments:
Post a Comment