MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Monday 17 June 2013

PICHA ZA MAZISHI YA MAREHEMU LANGA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI DAR



Leo ndo ilikuwa siku ya kumpumzisha marehemu msanii wa Hip-Hop kutoka Bongo (Tanzania), LANGA Kileo a.k.a Langa … Alifariki Tarehe 13 mwezi huu katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa akiugua na kulazwa …
Langa amezikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar ambako kumehundhuriwa na umati wa watu waliokumbwa na majonzi makubwa sana …
Tazama picha za baadhi ya ndugu, jamaa, wanamuziki, marafiki n.k. katika mazishi yake …
IMG_0001
IMG_0003
IMG_0005

No comments:

Post a Comment