MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Sunday 16 June 2013

NDOTO ZA STARS KWENDA BRAZIL ZAYAYUKA

http://www.24tanzania.com/wp-content/uploads/2013/06/d83eTaifa-Stars.jpg

Timu ya taifa tanzania taifa stars yakubali kichapo cha magoli manne kwa mbili na kuzima kabisa ndoto za kwenda kucheza kombe la dunia mwakani (2014) huko nchini brazili na kusababisha kuwapa uhakika timu ya taifa ya ivory coast kufuzu kubdi hili kwa kua hata Comoro wakishinda mechi yao ya mwisho na Ivory Coast watafikisha poin 11 na hivyo kuipa nafaqsi zaidi ivory coast. Ijapokua tumecheza vizuri ila bado makosa madogomadogo yanatucost

No comments:

Post a Comment