MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Wednesday 12 June 2013

MWANAMKE APOTEZA NYETI ZAKE MARA BAADA YA KUFUMANIWA AKILA URODA NA MUME WA MTU HUKO BUKOBA

Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile kilichompata,baada ya kula uroda na mwanaume katika nyumba ya wageni ya super star hamugembe alitoweka na pesa za mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa kigoma,baada ya muda mama huyu  alijikuta baada ya umati kuwa mkubwa police walifika maeneo ya tukio na kumchukua huyo mama,tunafanya jitihada za kumpata msemaji wa jeshi la police,na ikibidi taarifa rasmi ya daktarihana sehemu zake za siri

panda mama tukifika huko tutajua zipo au zimetoweka...
majanga jamani ......

mama alipoteza sehemu za siri akipelekwa polisi

No comments:

Post a Comment