i zinasema baada ya Nassari kuondoka na gari jingine, waliokuwa wanafuatana naye walienda kujibanza sehemu.
Kiongozi wa Chadema aliyetambulika kwa jina la Teddy Ndossi na dereva wa Nassari. Dereva wa Nassari Guardian Palangyo amepigwa mdomoni amevunjwa meno mawili, na kwa sasa wamempiga Katibu wa Chadema wa eneo hilo anayeitwa Kilongola, wapo Kituo cha Polisi Makuyuni kutafuta msaada zaidi.
Picha na taarifa zaidi zitawajia baadae.
chanzo juma mtanda blog
No comments:
Post a Comment