MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Wednesday 12 June 2013

HII NDO VIDEO YA MAMA ALIYELALA KWENYE PAA LA NYUMBA YAKE ILI ISIUZWE MBEZI




Mama mmoja anayejulikana kwa jina la Azelina Mrema mkazi wa Mbezi tangi bovu jijini Dar es salaam analala na kushinda juu ya paa la nyumba yake kwa siku ya tano sasa akipinga kuondolewa kwa nguvu kwenye nyumba yake bila kufuata taratibu na madalali wa benki

No comments:

Post a Comment