MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Thursday 6 June 2013

HAPA NDIPO ALIPOHIFADHIWA MAREHEMU MANGWEA KATIKA NYUMBA YA MILELE

clip_image001

Hii ndio nyumba ya Milele ya Msanii Albert mangwea aliye fariki huko nchini South African na kuzikwa leo Nyumbani kwao Morogoro. Daima tutakukumbuka kwa Ucheshi wako na Kwa kujituma kwako katika Tasnia nzima ya Muziki nchini.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema.

No comments:

Post a Comment