Leaders club maandalizi ya mwisho
kabisa kwa ajili ya kwenda airport kuupokea mwili wa marehemu mangwea
ambao utaingia leo saa 7 na ndege ya kisha kupelekwa moja kwa moja
katika hospital ya taifa ya muhimbili kwa ajili ya kuifadhiwa mpaka
kesho saa 2 maiti itafika katika viwanja vya leaders club na saa4
shughuli za kuaga mwili wamarehemu zitafanyika mpaka saa 7 ndiotmwili
utasafirishwa kwenda morogoro na utalala kwenye nyumba yao na kesho yake
siku ya alhamis ndio marehemu albert mangwea utaagwa tena na kuzikwa
huko huko morogoro na hii ndio safari ya mwisho ya msanii albert mangwea
mungu alaze roho ya marehemu albert magwea mahala pema peponi.amin
R.I.P MANGWEA.
No comments:
Post a Comment