MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Wednesday 12 June 2013

ANGALIA VIDEO YA WACHAWI WALIOKAMATWA KATIKA KANISA LA UFUNUO



Watu wawili ambao ni masaganya kalimanzila umri wa miaka 30 ambaye ni mwanamke na chiza juma mwanaumewaliotambulika kuwa ni wachawi baada tu ya kubanwa ni may 21, 2012 katika kanisa la ufunuo butimba jijini mwanza wakisafili kwa ungo toka kazilamkunda wilayani kasulu mkoani kigoma hadi mwanza

1 comment:

  1. huu ni utapeli mkubwa. lafudhi ya huyo jamaa si ya mtu kutoka kigoma ni lafudhi ya kanda ya ziwa. sipendi tabia hii ni ya kishenzi kuteka imani za watu kwa kufake wamekamata wachawi hebu blogger nisaidie kuhoji.kati ya hao wanao hoji na wahojiwa lafudhi zinatofautiana?

    ReplyDelete