Watanzania
waishio nchini South Africa, wamepata nafasi ya kuuaga mwili wa
mwanamuziki ALBERT MANGWEA aliefia nchini humo … Hii hapa chini moja ya
picha inayoonesha watu wakiaga mwili huo …
Mwili wa Marehemu Ngwair utawasili kesho jijini Dar Es Salaam na kuagwa na fans, marafiki na ndugu katika viwanja vya leaders club, kinondoni kabla ya safari ya kwenda Morogoro, ambapo atazikwa huko karibu kabisa na kaburi la baba yake mzazi …
Pumzika kwa Amani: Albert Mangweha.
chanzo Tanzania one




R.I.P BRODA NGAIR
ReplyDelete