MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Monday 10 June 2013

ANANITAKA KIMAPENZI. (MWANAFUNZI WANGU} ANAPENDA KUNITEGA KWA KUKAA NUSU UCHI AKIWA DARASANI...NIFANYEJE?

Mi ni mwalimu, wiki iliyopita mwanafunzi wa kike form three, kanifata na kuniambia anataka kunipa zawadi, nkwamwambia poa tu, zawadi aloniletea nilichoka, maana alinletea chupi aina ya boxer 3, na Kila akiniona ananifanyia Vituko Mpaka ananikalia uchu darasana nikiwa nafundisha naona mpaka ikulu kwa vile anakaa viti vya Mbele , vituko vya wanafunzi navipata sana lakini infact sitaki kabisa mambo hayo yanavunja sana heshima ingawa mwaka juzi maji yalizidi unga msichana wa form 2, alini trap hadi nika haribu lakini huwa najilaumu hadi leo kwa kufanya vile na nikatubu nikaahidi kutorudia tena, jamani mniombee nibadilishe kazi naona hii nilonayo sio sio..

chanzo boss ngassa

No comments:

Post a Comment