Hali
ya huzuni ikiwa imetanda juu ya nyuso za mamilioni ya
watanzania
baada ya msiba mzito
uliotufikia
Ghafla kwenye Tasnia ya Muziki wa Kizazi Kipya......
Tumesikia
Producers,wanamuziki mbalimbali na watu mbalimbali
wakifunguka
na kuongea lolote
juu
ya marehemu Albert Mangweha....
Kupitia
Mtandao wake wa Instagram bado
Mwanamuziki
Diamond Platnumz
akiwa
kwenye hali ya kutokuamini
kilichotokea
muda mchache uliopita aliweza kufunguka..
juu
ya matarajio yake ya kufanya kazi za uhakika
na
marehemu Albert Mangweha.......
Muda
mchache uliopita alitupia kupitia mtandao wake wa
Instagram
Picha hii chini akiwa ameiandikia
maneno
haya''Kinachoniuma zaidi ni jinsi tulivyokua
tukijaribu
kutengeneza HIT bila Mafanikio... si kwa
nyimbo
niliyokushirikisha wala uliyonishirikisha, zote
Hazikufikia
Malengo yetu na Kuplan kufanya Ngoma Mpya
Ukirudi
toka South Africa.... bt pia kwa Mipango ya
Mwenyez
Mungu Haijawezekana... RIP Brother, i will
always
miss and Respect you....''
Ayo
ndio maneno aliyoandika Msanii Diamond Platnumz....
R.I.P ALBERT MANGWEHA....
chanzo. paradise entertainment


No comments:
Post a Comment