Baadhi ya wananchi wa kishangaa ajali hiyotokea jana mita ya saa mbili usiku
Wananchi wakilinasua gari hilo kutoka mtaroni
Ajali hii ilitokea mida ya saa mbili
usiku jana ambapo mmiliki wake hajafahamika mpaka tunaingia mitamboni.
Ajali hiyo haikusababisha madhara makubwa ya kujeruhi au kuua mtu
yeyote. Wananchi wameipongeza sana serikali kwa ujenzi wa barabara
unaoendelea hivi sasa na kuwaasa madereva kuilinda barabara hiyo kwa
kuwa makini pindi waendeshapo Magari yao.
No comments:
Post a Comment