Maafisa
wa polisi wanasema kuwa kati ya waliofariki ni raia waliokuwa
wanakimbilia eneo hilo la mkasa kuteka mafuta yaliokuwa yakivuja kutoka
kwa lori hilo.
maafisa wa serikali walikuwa katika harakati za kutambua mili ya waliofariki baada ya wengi wao kuchomeka vibaya.
Idara ya polisi imesema kuwa waliofariki waliteketea kiasi cha kutotambulika na itabidi watumie utaalamu wa vinasaba au DNA kutambua miili ya waliokufa. Source: BBC

No comments:
Post a Comment