MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Sunday, 26 May 2013

TETESI KUHUSU MATOKEO MAPY KIDATO CHA NNE KUTANGAZWA KESHO JUMATATU




Habari za kuaminika kutoka kwa ndugu wa karibu wa mh naibu wazir anayeshughulikia maswala ya elimu hapa nchini kwa sasa kuwa national examination results kwa matokeo yaliyofutwa yanatarajia kutangazwa kesho baada ya kukamilika kwa marekebisho ya upangaji mpya wa madaraja.

No comments:

Post a Comment