Kocha
mashughuli wa timu ya ligi kuu ya Uingereza, Manchester United, Sir
Alex Ferguson ametangaza kustaafu baada ya kufanya kazi na timu hiyo kwa
zaidi ya miaka 30, club hiyo imetangaza leo. Sir Ferguson atastaafu
rasmi mwisho wa msimu huu, ambao utakuwa wa 27 kama kocha wa timu hiyo.
Atamaliza kama kocha mwenye mafanikio kuliko wote katika historia ya
soka ya Uingereza.
Ferguson mwenye miaka 71 hivi sasa amefanikiwa kusimamia timu hiyo yenye mamilioni ya mashabiki tangu mwaka 1986
katika miaka 27 aliyokua kama manager wa timu hiyo, Sir Ferguson ameshinda vikombe 30, ikiwamo vikombe vikubwa 13
Ferguson ataachia nafasi hiyo baada ya mechi ya mwisho ya club hiyo kwa msimu huu ambayo itakuwa ni mechi kati yao na Manchester City.
Haijajulikana bado nani atakae mrithi kiti hicho
Source: DJ Fetty
No comments:
Post a Comment