
HAYA NI BAADHI YA MANENO ALIYOTAMKA RUGE KWENYE MAHOJIANO YAKE LEO ASUBUHI KUPITIA KIPINDI CHA POWER BREAKFAST:
Hapa
namnukuu..."nachoweza kusema ni kwamba mwanadada bunduki na mizinga
yake kaeelekezea siko, atafute njia sahihi ya vita yake,...kushuka kwa
nyumbani lounge ni Skylight band hilo liko wazi...RUGE na nyumbani
Lounge wap na wap, Clouds na nyumbani lounge wap na wap au Kusaga kama
anaendaga na mimi nisijue....."
Pia ameongezea..."opportunities
zipo tena nyingi saaana kwanini tusizifanye tunakaa kulaumu
fulanu....narudi kulekule unapokuwa na jina tumia opportunity hiyo....."
Mwisho
kabisa amemaliza na kusema...."na Leo hakuna kupiga bongo fleva vipindi
vyote....Seba Leo hakuna bongofleva....mimi nasema kama boss, eeeh si
radio yetu hatupangiwi na mtu..."
Hayo ni baadhi ya maneno aliyoyatoa RUGE boss huyo wa clouds media dhidi ya tamko la Lady Jay Dee, May 1
No comments:
Post a Comment