MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Friday, 10 May 2013

MADEREVA WA DARADARA IRINGA WAGOMA KUSAFIRISHA ABILIA


Hii ni baada ya kukataliwa kupaki dara dara zao katika eneo la manispaa kwa kile kinachadaiwa kuleta msongamano wa magali barebarani. baadhi ya madereva hao waliamua kuandamana wakiwa na diwani wa eneo husika wakidai kutotendewa haki na uongozi wa manispaa iringa mjini. Mgomo huu umeleta tabu kwa wakazi wa IRINGA ambao wameshindwa kufanya majukumu yao ya kila siku na kufanya watu kuangaika kufika maeneo yao ya kazi kujitafutia kipato hata hivyo mpaka sasa hakuna ufumbuzi wa tatizo hili. picha na peter sanga

No comments:

Post a Comment