MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Tuesday, 7 May 2013

KAULI YA P-FUNK MAJANI KWA LADY JAYDEE KUHUSU BEEF NA ClOUDS FM


Producer mwenye historia kubwa na ya kipekee katika muziki wa Bongo Fleva P-Funk Majani ameonesha kumuunga mkono Lady JayDee na kwamba anadhani ni muda sasa wengine wakafuata nyayo zake, yeye mwenyewe majani amemhakikishia Jide kuwa yuko nae “Count Me in”.

Ameongeza kuwa endapo wasanii na watayarishaji wa muziki wakiungana hakuna kitakachowazua isipokuwa Mungu.

No comments:

Post a Comment