2013
ni mwaka ambao mwanadada Judith Mbibo aka Lady Jayee amedhihirisha
kwanini alijipa jina Binti Komando. Infact mwaka huu ameongeza jina
jipya, Anaconda ambalo limeshika kasi kutokana na vuguvugu la Joto
Hasira alilolianzisha dhidi ya Clouds FM na Ruge Mutahaba.Vugu vugu hilo jana liliingia ukurasa mwingine baada ya Ruge kutumia zaidi ya saa 1 kujibu tuhuma nzito zinazoelekezwa kwake na mwanamuziki huyo mkongwe. Ruge aliweka bayana kuwa yupo tayari kukaa kwenye meza ya mazungumzo kuziongea hitilafu zao, kuzimaliza tofauti zao na kuanza kutengeneza mustakabali mpya kwakuwa vuguvugu hilo halina faida kwenye maendeleo ya muziki nchini.
Pamoja na kauli hiyo,
Source: Bongo5
No comments:
Post a Comment