

NGA.

MOJA YA BARABARA ZA MANISPAA YA IRINGA IKIWA IMEWEKWA VIZIWIZI IKIWEMO NA KUCHOMA MOTO TAKATAKA BARABARANI.





HABARI TOKA IRINGA ZINASEMA KWAMBA MBUNGE WA IRINGA MJINI MH.MCHUNGAJI PETER MSIGWA AMEKAMATWA NA POLISI NA KUSWEKWA NDANI KWA SABABU YA KUCHOCHEA VURUGU ZA MACHINGA MJINI IRINGA MUDA MFUPI ULIOPITA!! STAY TUNED!
No comments:
Post a Comment