Redd’S
Miss Arusha City Centre 2013, Nancy Moshi akipunga mkono mara baada ya
kutawazwa mshindi wa Taji hilo katika shindano lililofanyika Usiku wa
kuamkia jana jijini Arusha. Nancy aliwashinda warembo wenzake 10
waliokuwa wakiwania nae taji hilo.
Redd’S
Miss Arusha City Centre 2013, Nancy Moshi (katikati) akiwa katika picha
ya pamoja na mshindi wa pili Glory Steven (kushoto) na mshindi wa tatu
Neema Kessy mara baada ya warembo hao kutangazwa kuwa ndio washindi wa
shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia jana jijini Arusha.
Warembo
wa tano kati ya 11 waliokuwa wanawania taji la Redd’s Miss Arusha City
Centre 2013 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutangwaza
kufuzu hatua hiyo. Kutoka kushoto ni Minael Anderson, Neema Joel, Nancy
Moshi, Neema Kessy na Glory Steven.
Warembo
wanaliokuwa wakiwania taji la Redd’s Miss Arusha City Centre 2013
wakicheza show ya ufunguzi wa shindano hilo jijini Arusha usiku wa
Kuamkia jana.
Warembo wanaliokuwa wakiwania taji la Redd’s Miss Arusha City Centre 2013 wakiwa katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment