
It’s
official. Riri na Chris Breezy hawako pamoja tena au kwa sasa hawako pamoja.
wapenzi
hao wazamani, wameonekana wakitumia weekend zao kwa..
umbali wa maili 300 weekend
iliyopita, huku Chris akila bata Vegas kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa, huku
Rihanna akitumia siku ya jumamosi akiwa Barclays Center kwenye game kati ya
Nets na Bulls
kwa
mda sasa Riri na Breezy wamekuwa wakiwafanya mashbiki wao kuhisi kama wako
pamoja au la, lakini finally ameamua kuzungumza wakati wa interview aliyofanya
na “The Kyle and Jackie O Show.” wakati alipoulizwa kuhusu zawadi ipi
ingekuwa zawadi nzuri kwake.
ambapo
Chris alisema kukutana na wasichana wengi iwezekanavyo Vegas, kitu
kilichomfanya mtangazaji kama yuko single ambapo alisema
"Yeah, I’mma do it solo. I mean at the end of the day,
shawty doing her own thang. She on the road… It’s always gonna be love… I’m a
grown man, just gotta fast forward."
na
alipoulizwa kama Rihanna ndio soul mate wake na kuwa siku zote watakuwa pamoja
hiki ndicho alichokisema
"I’ll just put it like this, one thing I always want to
do is never disrespect nobody or put nobody down. The way I look at it is that
I am always gonna love that person and people have different wants and
needs. At the end of the day, she’s a young girl. I can’t really be
focused on wifing someone that young. And I’m young too so I can’t focus on
that right now. I gotta step forward and be a man and be the best Chris Brown I
can be instead of worrying about whoever else is gonna be on my side
pocket."
No comments:
Post a Comment