Jacqueline
“Jackie” Wolper akizungumza machache kuhusiana na filamu yake
alioitengeneza kwa ajili ya kumuenzi Marehemu Steven Kanumba, iitwayo
After Death iliyojumuisha wasanii mbalimbali wakiwemo chipukizi wa
tasnia hiyo. kulia kwake ni mtangazaji wa Clouds TV kupitia kipindi cha
Mama Land, Ben Kinyaiya aliyekuwa akiongoza ratiba nzima ya shughuli ya
Kumbu kumbu ya Marehemu Kanumba iliyofanyika kwenye viwanja vya Lidaz
Club,Jijini Dar.
Advertisement
Baadhi wakati wa jiji la Dar na vitongoji vyake wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Kumbu kumbu ya Marehemu Steven Kanumba,ambaye alikuwa akitimiza mwaka tangu kufariki kwake
Mwakilishi
kutoka Kampuni ya Clouds Media Group,Zamaradi Mketema akipokea tuzo ya
heshima kwa niaba ya kampuni hiyo iliyotoa mchango mkubwa katika tasnia
ya Filamu hapa nchini,kutoka kwa Mama yake,Marehemu Steven
Kanumba,kwenye maadhimisho ya kumbu kumbu ya kutimiza mwaka mmoja tangu
afarikii nyota huyo wa Filamu hapa nchini na kwingineko,Steven Kanumba
No comments:
Post a Comment