MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Friday, 12 April 2013

MSANII WITNESS AACHANA NA MUME WAKE MOKEY BAADA YA KFUNGA NDO MWAKA MMOJA ULIPITA SOMA ALICHOKISEMA.


WITNES

Msanii anayefanya vizuri sana kupitia muziki wa bongo fleva Witnes hivi majuzi alitoa kauli hii juu ya yeye kuolewa
 ”Hi,I want to tell every one kwamba am no longer married to Mokeys.I wanted you to know from me and please don’t asky why.Much Love”.

Hapo inamaanisha kuwa hakuna ndoa tena kati yake na mume wake ambaye walifunga ndoa kama mwaka mmoja uliopita.

No comments:

Post a Comment