MSANII MADEE ALICHOKIFANYA JIONI YA LEO KUADHIMISHA BIRTHDAY YAKE
Ikiwa leo anaadhimisha miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwake, Madee aamua
kufurahi kidogo na mafans wake kupitia show ya HOTMIX ya EATV jioni hii
sambamba na kutambulisha chupa lake jipya la NANI KAMWAGA POMBE YANGU.
No comments:
Post a Comment