MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Monday, 15 April 2013

HUYU NDO INADAIWA MPENZI MPYA WA KAJALA.SOMA KILICHOANDIKWA


petit

Kajala ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mtayarishaji wa muziki maarufu hapa Bongo “P-Funk” na kufanikiwa kupata naye mtoto mmoja, hivi sasa inasemekana ana-roll na mchizi mmoja ambaye ni member wa kampuni ya Endless Fame ya Wema Sepetu. Solid snitch wa bongomovietz.com ambaye amezipata za chinichini na ku-notice nyendo mbili tatu  za bootylicous actress Kajala Masanja kupitia BBM na mshkaji huyu. Directly unaweza kukubali kwamba yes, Jamaa na Kajala ni mtu na mpenzi wake kwa sasa. All is well, its a new life for Kajala and she deserve to love and to be loved. Best wishes kwenye kila anachokifanya hasaa kazi ya yake ya move
Mapenzi kati ya hawa wawili sasa yanaonekana live live kupitia BBM na hata kwa washikaji wa Karibu japo mapenzi yalianza hata kabla ya Kajala kwenda jela....Kijana Huyo anajulikana kwa jina la Petit Man ....na ni mmoja wa Wafanyakazi wa Endless Fame Kampuni ya Wema ...Hongera kwao Jamani

Picha hii Akiwa na Boss wake Wema Sepetu .....Nice One

No comments:

Post a Comment