Radamel Falcao alikuwa akiangaliwa na maskauti wa
Manchester United, wakati timu yake ya Atletico Madrid iliposhinda bao 2
siku ya jumapili.
Inasemekana kwa mujibu wa dailymail, Man United itakuwa tayari kutoa pauni milioni 47 kwaajili yake pamoja na Chicharito.
Wakati United ikishinda bao 2-0, Jim Lawlor alikuwa huko Uhispania kuiangalia timu
No comments:
Post a Comment