Siku moja baada ya Prof Jay kutoa maoni yake kupitia 255 ya kipindi cha
XXL juu ya maswala ya Ringtones na Ringback tones,ambapo alielezea
sababu za matatizo yanayoendelea katika upande wa Ringtones moja wapo
ikiwa ni kutokuwepo na umoja katika wasanii wenyewe, baadhi ya mashabiki
pia kwa kusapoti ngoma zisizo na maudhui mazuri ndani yake na media
kupokea mizki mibovu, Dudu baya afunguka na kumuita ni mnafiki na
kumfananisha na kunguru asie namabawa
"sijakubaliana na swala yeyekuzungumza sasa hivi ni mwanaharakati katika
huu muziki na nna ushahidi wa kusema yeye sio mwanaharakati la pili
natofautiana na yeye kusema kwamba mziki ni big g hilo nalikataa
kwasababu unavyoona vijana wa sasa hivi wanamziki kama Diamond, Ommy
Dimpoz na wasanii wengine kama kina Rich mavoko, wanavyofanya wakati
sisi tuhahit wanatutazama kwenye TV, na wanakuwa inspired na sisi na
wanafurahia maendeleo yetu wanafurahia kushine kwetu halafu sasa hivi
anasema mziki ni big g, hizo ni jelous za kichawi, na unaonyesha kwamba
wewe umeshindwa, ushanielewa ndio maana nimetofautiana nae kwa kitu
hicho, na hawezi kuwa mwanaharakati kwasababu nimeshawahi kukaa nae na
kumwambia tufanye harakati hizi kuokoa mziki akasema harakati hizi ni
ngumu, kwamba ni nzito siziwezi wakati nyimbo zake zinapigwa, lakini leo
namshangaa anavyolia wakati nyimbo zake hazipigwi, watu kama kina Nikki
na wasanii wengine ni kama kunguru wasio na mabawa............"
"hawa wasanii wa hiphop hata kwenye tua za basi wanakua hawaongei na
wasanii wabana pua, wakiwekwa kwenye hoteli wanasema hawa wabanapua
sikai nao, silali nao chumba kimoja, huo ni ushetani na ni upumbavu
ambao umekithiri.....wanahiphop wa Tanzania ni wanafki, na ni wachawi
wakubwa...hiphop lazima ujue maisha yako...wamekuwa ni wanafki wa
kuongea kwenye radio...." zaidi msikize hapa chini
baada ya kuulizwa kuna ishu gani aliyoongea na Prof Jay na akamtolea nje hiki ndicho alichokizungumza

No comments:
Post a Comment