MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Saturday, 20 April 2013

Di Canio awa Shujaa tena

Sunderland waliibuka na ushindi wa bao 1 kwa bila dhidi ya Everton katika mchezo wa ligi kuu Uingereza uliofanyika nyumbani kwao Sunderland.
Bao hilo pekee la pili kwa wiki kwa Stephane Sessegnon lilileta furaha machoni kwa Di Canio na wapenzi wa Sundeerland.
Matokeo ambayo yanaifanya Sunderland kuepuka na tishio la kushuka daraja.

Matokeo Mengine:
FT Fulham 0 – 1 Arsenal
FT Norwich 2 – 1 Reading
FT Queens Park Rangers 0 – 2 Stoke
FT Sunderland 1 – 0 Everton
FT Swansea 0 – 0 Southampton
FT West Bromwich Albion 1 – 1 Newcastle United
FT West Ham 2 – 0 Wigan
 
No comments:

Post a Comment