MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Monday, 8 April 2013

BAADA YA KUAHIRISHWA KAMBI YA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 YAANZA UPYA KWA KISHINDO,WAFANYA SHEREHE NA WANYAMA NDANI YA SAADANI NATIONAL PARK.


Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakifurahia Kuingia Saadani National Park

 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika Ofisi ya mapokezi Getini Saadani National Park

 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika lango kuu la Kuingia Saadani National Park

Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13  wakishangilia mapokezi Saadani National Park 
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakipata Maelezo Getini kutoka kwa Maofisa wa Saadani National Park
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika picha ya pamoja na Maofisa lango kuu la kuingilia Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 katika picha ya pamoja lango kuu la Saadani National Park
Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13  wakipata maelezo kutoka kwa muongoza watalii Saadani National Park 
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa makini kunakili Dondoo muhimu kutoka kwa muongoza watalii Saadani National Park
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika Safari  ya kutembea kwa Miguu ndani ya Saadani National Park
 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakifurahia ubora wa usafiri wa TANAPA wakiwa wanatalii Saadani National Park
 Baadhi ya Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wamepata ujasili wa kuvuka mto baada ya wenzao kuvuka ndani ya Saadani National Park

 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13  wakianza  Safari ya kutembelea wanyama Saadani National Park


 Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa mbele ya mabaki ya mafuvu ya wanyama ndani ya Saadani National Park
Shangwe za usiku wa Ngoma za Asili wa Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13  Saadani National Park

Picha ya Washiriki Miss Utalii Tanzania 2012/13  katika bwawa la kuogelea la Saadani Safari Lodge




















No comments:

Post a Comment