MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Friday, 29 March 2013

ALICHOKISEMA MWANAMUZIKI SANG P KUHUSIANA NA UJIO WA TRACK YAKE MPYA YA HAKUNA MATATA

Mwanamuziki SANG P ambaye mwanzo alikua anafanya  vizuri Mbeya Movies,kwa sasa amegeukia muziki wa hip hop na anafanya vizuri hii kazi pande za Iringa ametoa ngoma yake ya hakuna matata aliyomshirikisha zax na Doctor Killer anawaombeni wadau na mashabiki kumsupport kwa kusikiliza na kununua albam yake ambayo iko mbioni kutoka.Na hivyo ndivyo alivyo Tiririka "Napenda kuwaambia mafans wangu ngoma ni kali imesimama kila idara so nawaombeni sana mashabiki wangu kuweza kunisupport kwa kuisikiliza hii ngoma na kununua album.Kwa sasa nimeanza kufanya video ya huu wimbo chini ya NEXT STEP PRODUCTION inayomilikiwa na Samson Kikoti.Pia nnachoweza kusema niko nakamilisha album kwa ajili yenu so mkae mkao wa kula.." Alisema SANG P

 
 Mwanamuziki: SANG P
ISIKILIZE NGOMA KWENYE LINK HAPA CHINI
Source:Samson Kikoti

No comments:

Post a Comment