Jengo la RK lililokaribu na eneo la Jet katika Barabara ya Nyerere
karibu na sheli ya Victoria linaendelea kuwaka moto mkubwa chana huu
ambao umefika katika eneo la ghala la kuhifadhia madawa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wapo eneo la tukio ambako hali bado si shwari.
Sehemu iliyoathirika zaidi ni ghala la kutunzia dawa za binadamu la kampuni ya Philips.

PICHA NA MDAU SHUMBUSHO
No comments:
Post a Comment