Akipiga stori na paparazi wetu, mwanadada huyo alisema japo kwa sasa ametofautiana na Diamond aliyeweka wazi kwamba yupo na Wema Sepetu hawezi kuwa na chuki dhidi y“Naapa kwa Mungu wangu katika maisha yangu haitatokea kamwe nikamdharau Diamond, haijalishi yupo na nani kwa sasa, thamani yake kwangu itabaki palepale hamuwezi jua namheshimu kiasi gani yule mtu,” alisema Penny.
MATANGAZO
/zest+mkali+3.jpg
/TULAMCHA+2+copy.jpg
Friday, 10 January 2014
PENNY AAPA ASEMA DAIMA KATIKA MAISHA YAKE HATAKUJA KUMDHARAU DIAMOND SOMA ZAIDI
MTANGAZAJI wa Kituo cha Televisheni cha DTV, Peniel Mungilwa ambaye
ni zilipendwa wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond
Platnum’ amesema katika maisha yake haitatokea akamdharau kwa kumkashifu
hata kama si wake tena.
Akipiga stori na paparazi wetu, mwanadada huyo alisema japo kwa sasa ametofautiana na Diamond aliyeweka wazi kwamba yupo na Wema Sepetu hawezi kuwa na chuki dhidi y“Naapa kwa Mungu wangu katika maisha yangu haitatokea kamwe nikamdharau Diamond, haijalishi yupo na nani kwa sasa, thamani yake kwangu itabaki palepale hamuwezi jua namheshimu kiasi gani yule mtu,” alisema Penny.
Akipiga stori na paparazi wetu, mwanadada huyo alisema japo kwa sasa ametofautiana na Diamond aliyeweka wazi kwamba yupo na Wema Sepetu hawezi kuwa na chuki dhidi y“Naapa kwa Mungu wangu katika maisha yangu haitatokea kamwe nikamdharau Diamond, haijalishi yupo na nani kwa sasa, thamani yake kwangu itabaki palepale hamuwezi jua namheshimu kiasi gani yule mtu,” alisema Penny.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment