MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Friday, 20 December 2013

HATIMAYE EMMANUEL OKWI AANZA MAZOE NA WACHEZAJI WENGINE WA YANGA LEO ASUBUHI

Hatimaye yule Emmanuel Okwi ameanza mazoezi rasmi na timu ya Yanga leo asubuhi. Angalia hapa picha nane zikimuonyesha Okwi akiwa mazoezini na wchezaji wengine wa Yanga.
Picha kwa hisani ya Global Publishers Ltd.

No comments:

Post a Comment