Martin alivunja vyombo na kuvitupa nje kupitia madirisha aliyoyavunja na kuharibu kila kitu alichokiona mbele yake pamoja na gari la Rebecca lililokuwa nje ya nyumba. Pia alivunja midoli ya mtoto wa Rebecca mwenye miaka minne na kurusha vyakula hovyo pamoja na 'tomato sauce' ukutani na sakafuni.
Baada ya kukiri kuhusika na tukio hilo,Martin aliihukumiwa kwenda jela miezi 18.Baada ya kukiri kuhusika na tukio hilo, Martin aliihukumiwa kwenda jela miezi 18
No comments:
Post a Comment