Mtoto waDk Willium Mgimwa aibuka kuchukua fomu, ili amrithi baba yake ubunge wa jimbo la Kalenga
Rais Jakaya Kikwete akimkumbatia, Godfrey Mgimwa baada ya kumaliza kutoa
shukrani kwa niaba ya familia yao katika msiba wa baba yake. Naye mmoja
ya watu wanaoomba kuteuliwa na CCM kugombea ubunge, jimbo la Kalenga.
Wengine ni Jackson Kiswaga, Bryson Kibasa, Hafsa Mtasiwa, Injinia Gabriel Kalinga, Msafiri Pangamila, Peter Mtisi, Thomas Mwikuka na Edward Mkiwa.
No comments:
Post a Comment