MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Sunday, 2 February 2014

KAMA TAKWIMU ZINAONESHA ZAIDI YA ASILIMIA TATU 3% WANAWAKE WAMEWAZIDI WANAUME JE? KWANINI KUNA FUMANIZI NA SOLUTION NI NINI?








 

Kuna mama mmoja ameolewa na wanapendana sana na mmeo. siku moja mme wake alisafiri kikazi (safari ya zaidi ya mwezi) nje ya mkoa. Siku mmeo anarudi, yule mama alimtafuta fundi seremala amrekebishie chaga za kitanda zilikuwa zimeharibika, kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya above +18.

    Wakati fundi anaendelea na kazi kumbe mmeo huyu dada alishafika. hakutaka kumjulisha mkeo, kwa nia nzuri tu ya kumfanyia suprise, kwani alikuja na mazaga zaga kibao. Hiyo aliingia kwa kunyatia hadi kwenye mlango wa chumbani kwao. Ghafla akasikia mazungumzo ya mkeo na fundi ndani. Mazungumzo yalikuwaje? fuatilia hapa chini

https://www.facebook.com/theclicktz


   Mwaka ulianza vibaya kwa jamaa huyu aliyefumaniwa na mke warafiki yake kipenzi huko mbeya kwenye gesti fulani ambako walikaa huko siku nzima, wakipeana burudani, haikuwa mara yao ya kwanza kufanya hivyo mpaka ikaja kujilikana na kunaswa
 
 Njemba  linalotuhumiwa kuvunja amri na mke wa  mtu likiwa  limelama  kitandani huku  likiomba msamaha  kwa  kosa hilo
 Hapa  njemba  hilo  likiwa bado limejilaza kitandani kwa mke wa  mtu 
 Polisi  wakimshusha  kitandani mtuhumiwa   huyo
 Wananchi  wa Mtaa wa Mkwawa wakiwa  nje ya nyumba   hiyo na askari polisi 
 
Na Issa Mnally
Mwanamke wa ‘mjini’ aliyejitambulisha kwa jina moja la Pamela, mkazi wa Chang’ombe, Dar, ameibuka na madai tata juu ya fumanizi la mke wa mfanyabiashara ‘the big name in town’, Hussein Tendega ‘Macheni’, Ashura Macheni (pichani), Ijumaa lina kitu kamili.

Akizungumza kwenye kipindi cha Mitikisiko ya Pwani cha Times FM chini ya presenta Khadija Shahibu ‘Dida’, Jumanne wiki hii, mwanamke huyo alimbebesha tuhuma nzito Ashura kwa kudai kuwa alimfuma laivu hotelini na mumewe.

Bila nukta wala koma, Pamela alisema kuwa tukio hilo lenye kila alama ya aibu alilishuhudia katika hoteli moja (jina tunalo) iliyoko Masaki, Dar ambapo akiwa na mashostito wake walifanya timbwili lenye ujazo wa kilo kadhaa.


[clip_image001%255B5%255D%255B4%255D.jpg]

No comments:

Post a Comment