Daraja la Dumila wilayani Mvomero, Morogoro likiwa limekatika baada ya kunyesha mvua kubwa.
Wasafiri wakiwa eneo hilo la daraja baada ya safari zao kukwama.
Mafuriko yaliyopelekea daraja hilo kuharibiwa na maji.
Hali ilivyokuwa jirani na eneo hilo.
Mvua kubwa iliyonyesha wilayani Mvomero,
Morogoro usiku wa kuamkia leo imesababisha madhara makubwa ikiwemo
kukatika kwa daraja la Dumila linalounganisha barabara za Morogoro na
Dodoma na kusababisha safari za wananchi kukwama.
No comments:
Post a Comment