MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Saturday, 18 January 2014

HAYA NDIO MATOKEO YA MECHI ZA LEO LIGI KUU UINGEREZA YATAZAME HAPA


Ligi kuu ya Uingereza inaendelea tena wikiendi hii kwa michezo mingi katika viwanja tofauti.
Katika mchezo wa mapema klabu ya Sunderland ikiwa nyumbani ilijikuta ililazimisha sare ya goli 2-2 mara baada ya kuwa nyuma kwa goli mbili.

Yafuatayo ni matokeo ya michezo yote ya leo:


FT:
Sunderland
2 – 2
  Southampton
HT:
Arsenal
2 - 0
  Fulham
HT:
Crystal Palace
1 – 0
  Stoke City
HT:
Manchester City
4 - 1
  Cardiff City
HT:
Norwich City
0 – 0
  Hull City
HT:
West Ham United
1 – 2
  Newcastle United
20:30
Liverpool
   vs
  Aston Villa

No comments:

Post a Comment