Msanii mkongwe katika game ya Bongo Fleva Joseph Haule (Prof. Jay) ambae amesababisha ushawishi mkubwa sana kwa kijana kuingia kwenye game hii na hata baadhi ya wazazi kuelewa muziki huu.
Kupitia kurasa yake ya Facebook Jay amepost picha akiwa katika studio za Bongo Records inayomilikiwa na Producer mkongwe nchini Tanzania P. Funk Majani wakiwa pamoja na Diamond Platinum.
Amepost picha hiyo pamoja na maneno haya "Ndani ya Bongo Records with the Super dupa producer P - funk Majani and @diamondplatnumz himself Muda Huu # COOKING for all yall'.... kaeni mkao wa kula watu wangu!!!"
No comments:
Post a Comment