Mwanadada maarufu kwa jina Hottest Elizabeth
Michael {HotLulu} ameamua kubadilisha muonekano wake baada ya kudumu na
mazoezi kwa siku kadhaa zilizo pita, baada ya hayo mazoezi na haya ndo
majibu yake na ndio muonekano wake mpya wa kuanzia mwaka
2014....Zifuatazo ni baadhi ya picha za muonekano wake mpya amabazo
alizipost kupitia mtandao wa kijamii wa instagramu huku akiwa amesema
maneno yafuatayo
No comments:
Post a Comment