Wasanii wa Machiri wakiwa kwenye pumziko maeneo ya Ruaha Mbuyuni ambako walikuwa wakifanya movie mpya ya Fulsa
Kitale Akiwa location kijiji cha Msosa - Ruaha Mbuyuni kwa ajili ya movie hii ya Fulsa
Baadhi ya Wakazi wa Msosa Wakishangaa vijana wakiwa Location kukamilisha movie ya FULSA
Director akiwa makini kabisa kuchukua clip za wasanii ambao walikua wakicheza scene
wakazi wa msosa wakiwa makini wakiangalia kinachoendelea kijijini Msosa - Ruaha Mbuyuni
Mzee Msisili akiwa katika moja ya scene za filam hii ya FULSA
Akizungumza na mtandao huu Bwana. Maridadi Neto alidai Hii ni moja kati ya movie ambazo anaamini itafanya vizuri sana kwenye nyanja ya saanaa Tanzania na kungineko kwa ujumla kulingana na kile kilichodaiwa kuwa story kuwa nzuri na wanaamini mambo yatakuwa sawa hivi karibuni
No comments:
Post a Comment