Hakuna mtu yoyote ambaye hajaguswa na
kifo cha Mzee Nelson Mandela kutokana na historia ya pekee aliyoiacha
kiongozi huyu wa Afrika Kusini.
Kuanzia mataifa ya Asia,Ulaya,Marekani,
wanamichezo,waigizaji hadi watu wa kawaida wameonyesha masikitiko yao
kwa kumpoteza mfano mzuri kwenye uongozi.
Headline mpya inamhusisha msanii nguli
wa hiphop The Game ambaye ni mpenzi mkubwa wa tatoo.
Hivi sasa amechora
tatoo kubwa za sura za wanae,Barack Obama, Trayvon Martin na Nelson
Mandela akiangalia nje ya gereza.
The game ali-share picha akionyesha
tatoo hiyo kubwa na kuandika ,“The finished ‘Nelson Mandela’ lookin out
of the prison bars by @NikkoHurtado done on my side. 7 hour sitting….
Few more hours to tie in the tats around it & we solid,”
No comments:
Post a Comment