MATANGAZO

/zest+mkali+3.jpg /TULAMCHA+2+copy.jpg

Friday 11 October 2013

MSANII DAIMOND APATA MRITHI - APIGA REMIX KALI YA MY NUMBER ONE KUWA WA KWANZA KUIPATA

Msanii anayetazamiwa kwa macho ya mbali kutoka kusini maalufu kama MEDA CLASSIC mshiriki SUPER NYOTA IRINGA amekutwa akizungumzia undani wa jinsi alivyoguswa na nyimbo aliyoiimba THE REAL ROLL MODEL WAKE (DIAMOND PLANTINUM. 


MEDA alisikika akimzungumzia DIAMOND katika moja ya Radio station maarufu mjini IRINGA - EBONY FM ni baada tu ya kuzagaa kwa remix ya wimbo wa YOUR LAST ONE (AMBAYO NI REMIX YA WIMBO WA DIAMOND - NZERERE) .

 Kiukweli inawezekana kabisa akawa mrithi wa Diamond soon kutokana na real life story zao kimaisha kuwa kama zinaendana kabisa na diamond. Pia muonekano wao

 

Na huu ndo wimbo aliourudia MEDA CLASSIC (NZERERE) UKIPEWA JINA LA YOUR LAST ONE na msanii MEDA CLASSIC kutoka IRINGA Kuonyesha ni jinsi gani anavyomuelewa mchizi

NB: MEDA CLASSIC akizungumza na mtandao huu Amemuomba au Kumuasa DIAMOND asijali kuhusu kuurudia wimbo huo kwani ni moja ya kuwaunganisha wawili hawa
 Sikiliza nyimbo hapo chini remix ya MY NUMBER ONE KUTOKA KWA MEDA CLASSIC




No comments:

Post a Comment