MATANGAZO
Monday, 13 May 2013
NI UJIO WA VIDEO YA SANG P
Ni baada ya kimya cha muda mrefu hatimaye vidio ya nyimbo ambayo imemake headline sasa iko tayari na ni muda mfupi tu itaweza kuachiwa kwa wadau wa musiki ni nyimbo ambayo inatambulika kwa jina la hakuna matata iliyofanyika katika studio za mashada inc record na video chini ya NEXT STEP PRODUCTION kupitia mikono michafu ya SAMSONI KIKOTI ambaye ndiye editer wa video hii jiandae kuipata
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment