
Akizungumza na Star Mix, Kidoa ambaye kwa sasa anaigiza Tamthiliya ya Huba alisema kuwa, iliwahi kumtokea siku moja akasahau kuvaa cheni kiunoni, alijihisi hana amani na muda wote alijiona mtu wa aibu.

“Kiukweli yaani kwenye mtoko wowote bila kuvaa cheni kiunoni sijui najionaje? Najiona kama sijatimia vile. Napenda sana kuvaa cheni, imekuwa kama ugonjwa kwangu,” alisema Kidoa.
No comments:
Post a Comment