MbongoFleva, Ali Salehe Kiba ‘King Kiba’,
unadaiwa kuzua maswali kwa kuwa, jamaa huyo siku chache zilizopita
alimvisha pete ya uchumba mwandani wake aitwaye Amina kutoka nchini
Kenya.

Ali Kiba.
Siku chache zilizopita uliibuka uvumi kuwa, mastaa hao kwa sasa
wanatoka kutokana na ukaribu wao ambao umezua gumzo huku swali la wengi
likiwa kama ni kweli hiyo ni ‘pea’ mpya Bongo, vipi kuhusu Amina?

Ruby.
Kufuatia ishu hiyo, Wikienda lilianza kwa kumtafuta Ruby na kumuuliza
kama taarifa za ‘kuchepuka’ na Kiba zina ukweli ambapo alijibu kwa
kifupi: “Sorry, sitaki kuulizwa kuhusiana na hayo mambo, naomba niulizwe
kuhusu kazi zangu tu!”
source global publishers
No comments:
Post a Comment