AMMY CHIBA amekua miongoni mwa wasanii bora sana tanzania kwa sasa hii ni baada ya mwaka jana kufanya vizuri sanaaa na sasa kwa mwaka 2017 ameanza vizuri zaidi kwa kuachia ngoma kali sana ambazo kwa sasa zinafanya vizuri zaidi kitaaa

ALBAMU yake iko sokoni kwa sasa na ni vizuri ukajipatia nakala yako moja maana ni albamu bora sanaa na mengi mazuri utayaona wewe mwenyewe ukiipata nakala hiii
kwa mawasiliano naye namba hizo hapo kwenye cover ya albamu yake ambayo inafanya vizuri sanaaa kwa soko SIYO YA KUKOSA HIIIIIIIIIIIIII

No comments:
Post a Comment